Ommy Dimpoz atoa picha yake akiwa ICU - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ommy Dimpoz atoa picha yake akiwa ICU

Leo Septemba 13, 2018 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya msanii Ommy Dimpoz, katika ukurasa wa mtandao wake wa Instagram ameweka picha zake zilizopigwa alipokuwa amelazwa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) nchini Afrika Kusini.


Source: MwanaspotiRead More