OnePlus waingia rasmi kwenye soko la simu Marekani - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OnePlus waingia rasmi kwenye soko la simu Marekani

Moja kati ya kampuni mpya mpya katika utengenezaji wa simu, OnePlus, kutoka nchini Uchina waingia rasmi kwneye soko la simu la nchini Marekani. OnePlus waingia rasmi kwenye soko la simu Marekani baada ya kuingia mkataba na mtandao wa simu wa T-Mobile pamoja na kampuni nguli katika utengenezaji wa vipuri mama vya simu ya nchini Marekani [...]


The post OnePlus waingia rasmi kwenye soko la simu Marekani appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More