#ONGEA NA KOCHA; Kitu Hichi Kimoja Ndiyo Kinakuzuia Usione Madhaifu Yako… - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#ONGEA NA KOCHA; Kitu Hichi Kimoja Ndiyo Kinakuzuia Usione Madhaifu Yako…

Rafiki yangu mpendwa, Nilishakuambia ya kwamba hutafanikiwa kwa kukazana kuboresha madhaifu yako, badala yake utafanikiwa kwa kutumia vizuri uimara ambao tayari unao. Ninachomaanisha ni kwamba, kama kuna eneo ambao una udhaifu, ukikazana kulifanya kuwa bora, utatumia nguvu nyingi na hutakuwa bora sana. Lakini kama utatumia nguvu hizo kwenye eneo ambalo tayari una uimara, utafanikiwa zaidi.... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More