#ONGEA NA KOCHA; Mtawale Mtu Huyu Mmoja Na Utaweza Kuitawala Dunia Nzima. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#ONGEA NA KOCHA; Mtawale Mtu Huyu Mmoja Na Utaweza Kuitawala Dunia Nzima.

Rafiki yangu mpendwa, Inapokuja kwenye swala la maisha bora, ya mafanikio na kuweza kupata chochote ambacho mtu unataka, sehemu ya kuanzia ni moja pekee. Ukishaijua sehemu hiyo na kuweza kuifanyia kazi, dunia haikupi shida, hakuna chochote kitakachokusumbua na maisha yako yataenda vile unavyotaka wewe, hata kama hujapata kila ulichotaka kupata. Kama unataka kuitawala dunia nzima,... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More