ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN

Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Dkt Jakaya Kikwete akitoa cheti kwa Mwanafunzi Bora wa kike kutoka kitivo cha ElimuIrene Loshiro wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Dkt Jakaya Kikwete akitoa cheti kwa Mwanafunzi Bora wa kiume kutoka kitivo cha Sayansi Mohamed Hassan wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) .Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Dkt Jakaya Kikwete akiwa na Mwanafunzi Bora wa kike kutoka kitivo cha ElimuIrene Loshiro na Mwanafunzi bora wa Kiume Kitivo cha Sayansi Mohamed Hassan wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) jana.Wahitimu wakiwa wanatunukiwa kwenye mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).Maandamano ya Kitaaluma yakiingia uwanjani wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Ikuu Kishirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).
Na Zanab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mahafali ya kumi na moja (11) ya C... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More