Orodha ya vyuo vikuu bora duniani ya QS 2019, Afrika Mashariki yatoa chuo kimoja  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Orodha ya vyuo vikuu bora duniani ya QS 2019, Afrika Mashariki yatoa chuo kimoja 

Ni shahada ya chuo kikuu gani Afrika ambayo inapendelewa na waajiri zaidi duniani? Afrika Mashariki kuna chuo kikuu kimoja pekee, vyuo vikuu vingine vikitoka Afrika Kusini na Misri.


Graduation


Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa kuajirika kwa wanaofuzu na Shahada Duniani wa 2019 ambao umefanywa na kampuni ya QS Group na huwa kiashiria cha matumaini ambayo wanafunzi wanaweza kuwa nayo wakitafuta kazi baada ya kufuzu.


Aidha, huwa ni kiashiria kwa vyuo vikuu kwamba vinafaa kujivunia kazi na juhudi zao. Kampuni ya QS Group pia hutayarisha Orodha ya Vyuo Vikuu Bora Duniani.


Kwa mujibu wa BBC, Orodha ya sasa imetayarishwa baada ya kutafuta maoni ya waajiri 42,000 kote duniani na ni kiashiria cha chuo kikuu gani kinapendwa zaidi na waajiri.


Waajiri waliulizwa kuhusu ni wapi watu wenye shahada walio na “ujuzi zaidi, ubunifu na uvumbuzi na wanaomudu kazi vyema zaidi” hutoka.


Orodha hiyo pia huzingatia takwimu za idadi ya wanafunzi waliohitimu vyuo mbalimbali ambao huajiriwa, ni wapi watu wenye vyeo vya j... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More