ORODHA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WALIOITWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ORODHA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WALIOITWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT

TAARIFA KWA UMMA:
WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2019
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2019, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.

Sanjari na uchaguzi huo, JKT limewapangia makambi watakayokwenda kupatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01 hadi 07 Juni 2019.
Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma-Mara, JKT Msange-Tabora, JKT Ruvu-Pwani, JKT Mpwapwa na JKT Makutupora-Dodoma, JKT Mafinga-Iringa, JKT Mlale-Ruvuma, JKT Mgambo na JKT Maramba-Tanga, JKT Makuyuni-Arusha, JKT Bulombora, JKT Kanembwa, na JKT Mtabila –Kigoma, JKT Itaka-Songwe, JKT Lua na JKT Milundikwa-Rukwa, JKT Nachingwea-Lindi.

Aidha, wahitimu wenye ulemavu wa kuonekana kwa macho (physical disabilities) wanatakiwa kuripoti kambi ya JKT Ruvu iliyopo Mlandizi mkoani Pwani ambayo ina miundombinu ya kuhudumia watu wa ja... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More