OSHA WASHAURIWA KUONGEZA JITIHADA KUSIMAMIA VIWANGO VYA USALAMA NA AFYA SEHEMU ZA KAZI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OSHA WASHAURIWA KUONGEZA JITIHADA KUSIMAMIA VIWANGO VYA USALAMA NA AFYA SEHEMU ZA KAZI

    Na.Khadija seif, Michuzi tv
WAKALA wa usalama na afya Mahali pa kazi(OSHA)wameshauriwa kuongeza jitihada katika kusimamia viwango vya usalama na afya sehemu za kazi ili kuwezesha utekelezaji wa sera ya serikali ya uchumi wa viwanda kuwa na tija zaidi.
Akizungumza katika kikao kazi hicho,Katibu wa jukwaa la wahariri (TEF) ,Nevelle Meena amesema  wakala wa usalama na afya Mahali pa kazi (OSHA)  ina wajibu mkubwa katika kulinda Afya za wafanyakazi katika sekta ya umma,sekta binafsi pamoja na sekta isiyo rasmi, hivyo ni muhimu kwa taasisi hiyo kuhakikisha kwamba jamii ina uelewa wa kutosha kuhusu usalama wao wawapo kazini.
"Kikao hichi kimekua ni cha muhimu sana kwani wahariri au waandishi wa habari ni watu ambao wanakaa katika taasisi fulani iwe ya binafsi au ya umma au kati ya serikali na wananchi kwa ujumla hivyo wakala wa usalama na afya Mahali pa kazi (OSHA)    wameona kwamba wahariri wanaweza kuelimisha watanzania kuhusu kazi wanazozifanya, manufaa ya kazi wanazozifanya pamoja ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More