OXFAM WAKUTANA NA WADAU KUJADILI MIKAKATI YA KUKABILIANA NA MAJANGA. - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OXFAM WAKUTANA NA WADAU KUJADILI MIKAKATI YA KUKABILIANA NA MAJANGA.

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la kimataifa la Oxfam Nchini Tanzania Bw. Francis Odokorach akitoa neno la utangulizi  na maelezo machache juu ya Mkutano  na wadau kuhusu kujadili mikakati ya kukabiliana na majanga uliofanyika Hoteli ya Seashells jijini Dar es Salaam.Bi. Magdalen Nandawula akielezea kwa ufupi kuhusu malengo ya kukutana kujadili kuhusu kukabilia na Majanga.Bw. Pieter akielezea kwa kwa kina  kuhusu malengo ya kukutana kujadili kuhusu kukabilia na Majanga.
Shirika la Kimataifa la Oxfam Nchini Tanzania limejipanga katika kutafuta njia mbadala zitakazosaidia kupambana na maafa mbalimbali nchini ili kupunguza athari zake pale zitakapojitokeza

Maafa  hayo yaliyotajwa ni pamoja na mafuriko na ukame ambayo yamekuwa yakijitokeza katika maeneo mbalimbali yameingizwa katika mpango wa dharura wa miaka miwili

Mratibu wa mradi wa kukabiliana na Majanga (DDR) ), Bw. Yangai Ole Mkulago, akizungumza katika mkutano huo ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Oxfam alisema kuwa kuna haja ya... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More