Ozil kulipia upasuaji watoto 1,000 duniani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ozil kulipia upasuaji watoto 1,000 duniani

STAA wa Arsenal, Mesut Ozil atalipia huduma ya upasuaji ya matatizo mbalimbali watoto 1,000 ikiwa ni sehemu ya kusherehekea harusi yake na mrembo wa Kituruki, Amine Gulse.


Source: MwanaspotiRead More