Pamba yataka kurudia enzi zileee - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pamba yataka kurudia enzi zileee

UNAIKUMBUKA ile Pamba ya Mwanza iliyotikisha nchi ikifahamika kwa jina la ‘TP Lindanda’ au ‘Wana Kawekamo’? Umelimisi kwenye Ligi Kuu ya Bara lile chama lao matata lililowahusisha kina George Masatu, Fumo Felician, Nteze John ‘Lungu’, Madata Lubigisa na Paul Rwechungura?


Source: MwanaspotiRead More