PAMOJA NA KUTOLEWA KIZEMBE UEFA, PSG BADO WANAMUAMINI KOCHA THOMAS TUCHEL - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PAMOJA NA KUTOLEWA KIZEMBE UEFA, PSG BADO WANAMUAMINI KOCHA THOMAS TUCHEL


Klabu ya Paris Saint-Germain wanatarajiwa kumpa ofa ya ongezeko la mwaka mmoja katika mkataba wake kocha Thomas Tuchel katika wiki kadhaa zijazo, kwa mujibu wa taarifa kutoka L'Equipe. 
Kocha huyo wa Kijerumani ameiongoza PSG kuwa kileleni mwa msimamo kwa tofauti ya pointi 17 licha ya kwamba kutolewa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya raundi ya 16 bora dhidi ya Man United ni kasoro pekee. 
Lakini PSG wameripotiwa kuwa na imani na kocha wao kwamba ataiongoza mbele zaidi klabu na Rais wa klabu Nasser Al-Khelaifi anajiamini kwamba Tuchel atakubali kusaini mkataba mpya. Source: Mwanaharakati MzalendoRead More