Pasipoti zilianza kutumika baada ya vita vikuu vya kwanza vya dunia - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pasipoti zilianza kutumika baada ya vita vikuu vya kwanza vya dunia

Pasipoti ni stakabadhi muhimu ambayo humfungulia mtu milango ya kuzuru sehemu tofauti duniani, lakini kwa wengine inadhibiti utangamano wa watu kimataifa


Source: BBC SwahiliRead More