PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI

Mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Nane nane na Rais Mstaaafu wa awamu ya tatu,Benjamini Mkapa akikabidhi cheti kwa Mkurugenzi wa Biashara wa Taasisi ya kusaidia sekta binafsi ya Kilimo nchini (PASS) Killo Lusewa baada ya taasisi hiyo kuibuka kinara wa maonesho hayo kwa taasisi zisizo za Kiserikali,maonesho yaliyofanyika kitaifa mkoani Simiyu. Mkurugenzi wa Biashara wa taasisi ya kusaidia Sekta Binafsi katika Kilimo (PASS) akionesha cheti cha ushindi baada ya taasisi hiyo kushika nafasi ya kwanza kwa taasisi zisizo za kiserikali na kukabidhiwa na Rais Mstaafu,Benjamini Mkapa. Wafanyakazi wa Taasisi ya kusaidia sekta Binafsi katika Kilimo(PASS) wakifurahia mara baada ya kutangazwa washindi wa kwanza kwa taasisi zisizo za Kiserikali katika maonesho ua nane nane ambayo yamefanyika kitaifa mkoani Simiyu. Wafanyakazi wa Taasisi ya kusaidia sekta Binafsi katika Kilimo(PASS) wakifurahia kwa pamoja na wanufaika wa msaada wa mikopo kutoka katika taasisi hiyo mara baada ya kutangazwa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More