Paul Kagame afanya mabadiliko makubwa baraza la mawaziri, amuondoa kazini waziri wa ulinzi Rwanda - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Paul Kagame afanya mabadiliko makubwa baraza la mawaziri, amuondoa kazini waziri wa ulinzi Rwanda

Katika mabadiliko makubwa na ya kushtukiza aliyofanya Rais Kagame wizara 8 kati ya 23 zimepata mawaziri wapya zikiwemo wizara nyeti tatu.


Source: BBC SwahiliRead More