PAZIA LA USAJILI; YANGA WAFANYA MAAJABU DAKIKA ZA MWISHO, SIMBA YAMBAKIZA NDEMLA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PAZIA LA USAJILI; YANGA WAFANYA MAAJABU DAKIKA ZA MWISHO, SIMBA YAMBAKIZA NDEMLA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
DIRISHA la usajili limefungwa Alhamisi ya Julai 26, kwa klabu za Simba na Yanga kufanya usajili wa dakika za mwishoni.
Simba SC imefanikiwa kumbakiza kiungo wake, Said Hamisi Ndemla aliyekuwa anawaniwa na AFC Eskilstuna – lakini pia imekamilisha usajili wa kiungo mpya, Hassan Dilunga kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro. 
Wawili hao kwa pamoja na wachezaji wengine watatu, Erasto Nyoni, Meddie Kagere na Haruna Niyonzima wamekwenda kuungana na wenzao kambini nchini Uturuki baada ya kusaini mikataba yao.
Kipa Klaus Nkinzi Kindoki kutoka DRC (kulia) akikabidhiwa jezi na Meneja w aYanga, Hafidh Saleh
Geoffrey Mwashiuya akifurajia na jei ya Singida Unioted baada ya kusiani mkataba w miaka miwili kutoka Yanga SC


Yanga SC imefanikiwa kumbakiza beki wake tegemeo, mkongwe Kelvin Yondan, lakini imenasa saini za wachezaji wawili kutoka  kipa Klaus Nkinzi Kindoki na mshambuliaji Heritier Makambo, ambaop kila mmoja kusaini mkataba wa miaka miwili.
Wachezaji hao walikuwa kwen... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More