Pele anasema hivi Liverpool mabingwa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pele anasema hivi Liverpool mabingwa

Liverpool ilimaliza kwenye nafasi ya nne katika msimu uliopita ambapo Manchester City walibeba ubingwa, lakini Pele anaamini kwamba safari hii wakali hao wa Anfield watamtoa kapa Pep Guardiola na chama lake la huko Etihad.


Source: MwanaspotiRead More