Penati ya Mahrez yaibua mengine - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Penati ya Mahrez yaibua mengine

City ilipata penalti katika dakika ya 85 ya pambano hilo na Gabriel Jesus alitaka kupiga penalti hiyo lakini akapokea maagizo kutoka kwa Guardiola kuwa Mahrez ndiye aliyetakiwa kuuweka nyavuni mpira huo.


Source: MwanaspotiRead More