Penati ya mwendokasi aliyopiga Ali Kiba - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Penati ya mwendokasi aliyopiga Ali Kiba

Wakati TeamSamatta inaongoza 3-2 dhidi ya TeamKiba, TeamKiba ilipata penati na ilikuwa nafasi kwao kusawazisha na kurudi kwenye mchezo lakini nahodha mwenyewe King Kiba akapaisha mkwaju wa penati na kuendelea kuipa timu yake wakati mgumu kusawazisha.


Dakika chache baadaye Samatta akaifungia #TeamSamatta goli la nne amabalo lilimaliza mchezo huo kwa matokeo ya TeamSamatta 4-2 TeamKiba.


Click Play kuangalia Ali Kiba alivyopaisha penati ambayo kama angefunga matokeo yangekuwa 3-3 kwa wakati huo.Source: Shaffih DaudaRead More