Pep aweka bei ya De Bruyne hadharani na aingilia kati suala la Sterling - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pep aweka bei ya De Bruyne hadharani na aingilia kati suala la Sterling

Kati ya roho za klabu ya Manchester City hivi sasa ni Kelvin De Bruyne, ukimgusa De Bruyne baasi utakuwa umeigusa Man City na huyi ni mfalme haswa katika klabu hii.


Lakini hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa, kocha wa klabu ya Manchester City Pep Gurdiola ametaja pesa ambayo mtu akiifikia anaweza kumpata Kelvin.Pep amesema katika mkataba wa KDB (release clause) yake ni £223m lakini akasema sio rahisi wao wakamuuza hata kama kuna mtu yeyote ambaye atafikia kiasi hicho cha pesa.


Kwa sasa De Bruyne yuko nje ya uwanja akiugulia majeraha ambayo yatamuweka nje kwa takribani miezi mitatu huku msimu huu akicheza michezo miwili tu ya ligi.


Hapo hapo Manchester City kumekuwa na hali ya sintofahamu kuhusu mchezaji wao mwingine Raheem Sterling ambaye inadaiwa anataka nyongeza ya mshahara kwenye mkataba wake mpya.


Mkataba wa sasa wa Raheem unamfanya apokee £175,000 kwa wiki na unamalizika katika msimu ujao, na sasa Pep Gurdiola amewaambia mabosi wamalize suala hilo ndani ya mda.Gurdiola an... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More