Pep Guardiola amfunika Jurgen Klopp, Pochettino kocha bora wa msimu, awekwa chungu kimoja na Sir Alex Ferguson na Mreno Jose Mourinho kwa hili - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pep Guardiola amfunika Jurgen Klopp, Pochettino kocha bora wa msimu, awekwa chungu kimoja na Sir Alex Ferguson na Mreno Jose Mourinho kwa hili

Kocha mkuu wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya kocha bora wa msimu wa 2018/19 wa Ligi kuu England (Premier League).Pep Guardiola anafanikiwa kushinda tuzo hiyo mara ya pili mfululizo baada ya kuisaidia klabu yake ya Man City kubeba ubingwa wa Premier League na kuwashinda Jurgen Klopp, Mauricio Pochettino na Nuno Espirito Santo ambao waliingia fainali kwenye kinyang’anyiro hicho.


Mbali na kutwaa tuzo hiyo ya kocha bora, Pep Guardiola ameingia kwenye rekodi ya kuwa miongoni mwa mameneja watatu waliyofanikiwa kutwaa ubingwa huo wa Premier League mara mbili mfululizo ‘back-to-back seasons’ baada ya kufanya hivyo Sir Alex Ferguson na Mreno Jose Mourinho.Only three managers have won the Premier League in back-to-back seasons:


🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 Alex Ferguson
🇵🇹 Jose Mourinho
🇪🇸 Pep Guardiola


Three of the competition’s finest. pic.twitter.com/kzX4P6zzLi


— Squawka Football (@Squawka) May 12, 2019Ferguson amefanikiwa kufanya hivyo akiwa... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More