Peter Tino, Mutebezi waipa somo Stars - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Peter Tino, Mutebezi waipa somo Stars

WACHEZAJI wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Peter Tino na Taso Mutebezi, wamewataka wachezaji wa sasa wa timu ya Taifa kuivunja rekodi yao walioiweka miaka 39, kwa kuifunga Uganda siku ya jumapili kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya kombe la mataifa (AFCON). Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea) Kwa ...


Source: MwanahalisiRead More