Petit Afunguka Mahusiano Yake ya Kimapenzi na Mtoto wa Gadner - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Petit Afunguka Mahusiano Yake ya Kimapenzi na Mtoto wa Gadner

Meneja wa wasanii mbalimbali amefunguka na kukanusha madai mbalimbali yanayoedelea katika mitandao ya kijamii kuhusu yeye kuwa na mahusiano na mtoto wa mtangzaji maarufu Gadner G Habash.


Gadner amekanusha hayo na kusema kuwa pamoja na kwamba yeye na Kareen wamekuwa marafii kwa muda mrefu na kuwa amekuwa akimchukulia kama mdogo wake , na hakuna mahusiano yoyote ya kimapenzi yanayoendelea kati yao kama watu wanavyosema.


watu wanaongea sana kuhusu Careen wanashindwa kuelewa kuwa mimi na careen ni marafiki tu na  kwamba nina mchukulia kama mdogo wangu na rafiki yang tu.Lakini watu wana midomo kwaio lazima waseme


The post Petit Afunguka Mahusiano Yake ya Kimapenzi na Mtoto wa Gadner appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More