Petit Man Ajibu Kuhusu Kibendi cha Mnyarwanda. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Petit Man Ajibu Kuhusu Kibendi cha Mnyarwanda.

Moja ya watu maarufu katuka tasnia ya bongo Petit Man ambae pia ni mume wa mwanadada Esma platinumz ambae ni dada wa msanii Diamond Platinumz amefunguka na kusema kuwa kwa upande wake kama kweli kuna mwanamke ana ujauzito wake hana shida azae tu yeye hakatai mtoto.


Petit man anasema kuwa mtoto kwake ni baraka ukizingatia yeye hana watoto wengi bali ana mtoto mmoja hivyo atakuwa mtu wa ajabu kama atakataa mtoto wake.


Azae bwana mi sikatai mtoto , maana mtoto ni baraka na ukizintaia mimi sina watoto wengi mimi hapa nina mtoto mmoja tu na nina tamani sana kuongeza familia ili wawe wengi kwaio yeye kama ana kibendi changu azae tu aache maneno mengi.


Maneno hayo ameogea petit man alipokuwa akiulizwa na soudt brown kwenye U-heard ambapo hayo yote yalikuja baada ya mange kimambi kuwa anamtukana mke wa petiti na kutoa siri kuwa wawili hao ndoa yao imekufa baada ya mwanaume wake kupata mke mwingine wa kinyrwanda  anaeishi Dubai.


The post Petit Man Ajibu Kuhusu Kibendi cha Mnyarwanda. appeared ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More