PICHA 10: Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid wakiwa na wake zao - Millard Ayo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PICHA 10: Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid wakiwa na wake zao

Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya mastaa wa muziki kuonekana hadharani au katika mitandao ya kijamii wakiwa na wapenzi wao, inawezekana pia umewahi kuwasikia au kuwaona mastaa mbalimbali wa soka Tanzania lakini hujawahi kupata nafasi ya kuwaona wakiwa na wake zao. Leo February 17 2018 naomba nikusogezee upande wa pili wa maisha binafsi ya mastaa […]


Source: Millard AyoRead More