Picha la usajili Fei Toto, Singida, Yanga - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Picha la usajili Fei Toto, Singida, Yanga

Ukizungumzia usajili wa Bongo kwa sasa Feisal Salum ‘Fei Toto’ ndo ana kiki mitandaoni na kwenye vyombo vya habari. Kwa nini? Kwa sababu ametambulishwa na vilabu viwili tofauti.


Singida United walianza kuachia picha na video za kiungo huyo akionekana anasaini mkataba na kutambulishwa rasmi akiwa amevaa jezi ya klabu hiyo.


Baadaye jioni Yanga ilimtambulisha Fei Toto kwamba ni mchezaji wao rasmi baafa ya kumsainisha mkaba wa miaka mitatu.


Picha lilivyoanza


Singida United walikubaliana na klabu ya JKU kumsajali Feisal kwa ada ya Tsh.25m ambapo alitanguliziwa milioni 18 wakakubaliana atamaliziwa kiasi kilichobaki pindi atakapojiunga na timu.


Simba imetajwa


Baada ya game ya nusu fainali ya Kagame Cup jana (Simba vs JKU) inaelezwa viongizi wa Simba walimchukua Feisal kwa ajili ya kumalizana nae lakini mwisho wa siku dili hilo lilikwama kutokana na Simba kuchelewa kulipa pesa walizokuwa wamekubaliana.


Baadae Yanga waliingilia kati dili hilo lakini walipoelezwa kwamba tayari mchezaji huyo ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More