Picha: Rais Magufuli alivyozindua kituo cha uwekezaji cha JWTZ na viwanda vya Suma JKT - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Picha: Rais Magufuli alivyozindua kituo cha uwekezaji cha JWTZ na viwanda vya Suma JKT

Leo Alhamisi ya Mei 17, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) pamoja na viwanda vya maji na ushonaji vinavyomilikiwa na Suma JKT vilivyopo jijini Dar es Salaam.Tazama picha zaidi hapa chini.Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More