Picha: Spika Ndugai alivyokutana na Watendaji wakuu wa BOT - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Picha: Spika Ndugai alivyokutana na Watendaji wakuu wa BOT

Picha: Spika Ndugai alivyokutana na Watendaji wakuu wa BOTJune 8, 2018 - 5:21 pmSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amekutana na kuzungumza na Watendaji Wakuu kutoka BOT na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini DodomaTazama picha zaidi:
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia AcksonSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Watendaji Wakuu kutoka Benki kuu ya Tanzania (BOT) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma wakiongozwa na Gavana wa Benki hiyo, Prof. Florens Luoga (kushoto kwa Spika). Kulia kwa Spika ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia AcksonSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More