Picha/Video: Beyonce na Jay Z walivyowasha moto kwenye ziara ya ‘On the Run II’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Picha/Video: Beyonce na Jay Z walivyowasha moto kwenye ziara ya ‘On the Run II’

Beyonce na Jay Z wameanza kufanya show yao ya kwanza ya ziara ya ‘On the Run II’.Jumatano hii couple hiyo yenye nguvu kubwa duniani, wamefanya show yao hiyo mjini Cardiff, Uingereza katika uwanja wa Principality wenye uezo wa kuchukua watu takribani 74,500.Katika show hiyo, Queen Bey na Jay ameimba ngoma 43 ikiwemo ‘Drunk in Love’, ‘Big Pimpin’, ‘Baby Boy’, ’99 Problems’, ‘Crazy in Love’, ‘Family Feud’ na nyingine.


Ziara hiyo inatarajiwa kuzunguka kwenye miji 37 ikiwemo Ulaya na Marekani. Tazama zaidi picha za show yao ya mjini Cardiff.
Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

The post Picha/Video: Beyonce na Jay Z walivyowasha moto kwenye ziara ya ‘On the Run II’ appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More