Picha: Yaliyojiri katika ibada ya kuwaaga Maria na Consolata - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Picha: Yaliyojiri katika ibada ya kuwaaga Maria na Consolata

Watu mbalimbali wamejitokeza katika ibada ya kuwaaga mwili wa Maria na Consolata katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ruaha-RUCU ambapo ibada maalumu ya kuwaaga mapacha hao imefanyika. Baada ya ibada kutakuwa na maandamano ya kuelekea katika makaburi ya Tosamaganga ambapo ndipo miili yao itapumzishwa.Ibada hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Joyce Ndalichako na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu atayeshughulikia masuala ya Watu wenye ulemavu, Stella Ikupa.


Tazama picha zaidi:

Picha hisani ya Mitandao

Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

The post Picha: Yaliyojiri katika ibada ya kuwaaga Maria na Consolata appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More