Picha Za Kuagwa Kwa Mwili Wa Mzee Majuto - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Picha Za Kuagwa Kwa Mwili Wa Mzee Majuto

Mamia ya waombolezaji wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuaga mwili wa aliyekuwa muigizaji nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ jana Agost 9, 2018.


Mzee King Majuto alifariki dunia jana Agosti 8, 2018 majira ya saa 2:00 usiku katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu kwa siku kadhaa.


Baada ya kuaga,  mwili ulisafirishwa kwenda nyumbani kwake jijini Tanga kwa maziko ambayo yatafanyika kesho Ijumaa.


Hizi ni baadhi ya picha za matunzo ya kuuaga mwili wa MZee Majuto: 


.


 


The post Picha Za Kuagwa Kwa Mwili Wa Mzee Majuto appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More