POGBA AFUNGA BAO LA KWANZA LA MSIMU ENGLAND MAN UNITED YASHINDA 2-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

POGBA AFUNGA BAO LA KWANZA LA MSIMU ENGLAND MAN UNITED YASHINDA 2-1

Nahodha wa Manchester United leo, Paul Pogba akiifungia kwa penalti bao la kwanza Manchester United dakika ya tatu baada ya Daniel Amartey wa Leicester City kuunawa mpira kwenye boksi. United imeanza vyema Ligi kwa ushindi wa 2-1, bao la pili likifungwa na Luke Shaw dakika ya 83, kabla Jamie Vardy kuifungia la kufutia machozi Leicester dakika ya 90 ushei Uwanja wa Old Trafford leo Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More