POGBA AFUNGA MAWILI MAN UNITED YASHINDA 3-0 ULAYA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

POGBA AFUNGA MAWILI MAN UNITED YASHINDA 3-0 ULAYA

Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United dakika za 35 na 44 kwa penalti katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Young Boys usiku wa Jumatano Uwanja wa Suisse Wankdorf Bern mjini Bern, Uswisi katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa. Bao lingine alifunga Anthony Martial dakika ya 66 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More