Pogba ajumuishwa kutangaza jezi mpya Man United - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pogba ajumuishwa kutangaza jezi mpya Man United

PAUL Pogba amejumuishwa miongoni mwa wachezaji wa Manchester United walioteuliwa kutangaza jezi mpya za ugenini za klabu hiyo za msimu wa 2019-20 wa Ligi Kuu ya England.
Jezi hiyo mpya imebuniwa na adidas.


Source: MwanaspotiRead More