Pogba auponda mfumo wa Mourinho wa kulinda zaidi badala ya kushambulia - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pogba auponda mfumo wa Mourinho wa kulinda zaidi badala ya kushambulia

Kiungo wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa Paul Pogba amefunguka mwanzo mwisho kuhusiana na kile kinachomsumbua kwenye akili yake baada ya timu yao kupata sare na Wolves nyumbani Old Trafford. Kiungo huyo Mfaransa amefunguka na kuudhihaki mfumo wa kocha wake Jose Mourinho wa kulinda zaidi badala ya kushambulia kitu ambacho kitapelekea kuweza kushinda katika michezo yao.Licha ya kuuponda mfumo wa kocha wake lakini Pogba amewashauri wachezaji wenzake kuwa wakiwa katika uwanja wa nyumbani Old Trafford wanahitaji kushambulia zaidi badala ya kucheza mfumo wa kulinda zaidi,akiutolea mfano mchezo wao dhidi ya Wolves siku ya jumamosi baada ya timu hiyo kulazimishwa sare na vijana hao wa Moutinho.” Tukiwa nyumbani tunatakiwa kushambulia,kushambulia,kushambulia zaidi na hivyo ndio inavyotakiwa ukiwa nyumbani” aliongeza Pogba


” Ukiwa nyumbani unatakiwa kucheza vizuri zaidi ya mgeni tena na Wolves tulitakiwa kucheza vizuri zaidi yao,tulitakiwa kushabulia zaidi ili tupate us... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More