POGBA HOI MAN UNITED IKIPIGWA 2-0 NA WALIOSHUKA DARAJA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

POGBA HOI MAN UNITED IKIPIGWA 2-0 NA WALIOSHUKA DARAJA

Kiungo Mfaransa wa Manchester United, Paul Pogba akirejea katikati kinyonge baada ya Cardiff City kupata bao la pili katika ushindi wa 2-0, mabao yote akifunga Nathaniel Mendez-Laing dakika za 23 kwa penalti na 54 kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Pamoja na ushindi huo, Cardiff City imeungana na Fulham na Huddersfield Town kushuka daraja, huku Man United ikimaliza nafasi ya sita na pointi zake 66 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More