Pogba: Messi na Ronaldo wananiponza - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pogba: Messi na Ronaldo wananiponza

Licha ya kutwaa Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya taifa ya Ufaransa na kuwa mchezaji aliyethibitisha katika kiwango cha juu, kiungo huyo ameshuhudia mchango wake Old Trafford ukikosolewa daima.


Source: MwanaspotiRead More