Pole Maalim Seif - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pole Maalim Seif

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ameondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi  (CCM). Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Akitangaza uamuzi wake huo mbele ya waandishi wa habari, Mtatiro alisema, ameamua kuchukua hatua hiyo kwa kuwa anataka kuwa “balozi bora wa Rais John Magufuli, ndani na nje ...


Source: MwanahalisiRead More