Pole sana Bufffon - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Pole sana Bufffon

Buffon, mlinda mlango ambaye amekuwa hana bahati na michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya.


Katika maisha ya soka kumekuwa na changamoto nyingi za hapa na pale mpaka ufikie malengo yangu au kiujumla. Maisha ya soka ni mafanikio ambayo leo hii utakumbukwa duniani na watu na itabaki kudumu milele na mile.


Ukiongelea moja ya makipa bora duniani huwezi kuliacha kutaja jina la goli kipa mkongwe Gianluig Buffon, moja ya makipa bora duniani kwa sasa wenye uwezo mkubwa na hata pia ni kiongozi akiwa uwanjani kwa maana ya kuwaongoza wenzake nini cha kufanya.


Buffon, ni moja ya makipa ambayo amekuwa hana bahati na kutwaa taji la michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya ndo kitu peke kinachomfanya mpaka leo asistafuu soka na kuamini kuwa ipo siku atashinda michuano hiyo? Kwa mara ya kwanza katika historia yake binadamu tunaishi kwa ndoto na kujituma kila kukicha ili tuweze kufanikiwa katika maisha .


Fainali ya mwaka 2003 pale katika dimba la Old Trafford kati ya Ac Milan dhidi ya Juventus, Buffon, ali... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More