Polepole ajikanyaga Uchaguzi Ukonga - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polepole ajikanyaga Uchaguzi Ukonga

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedai kwamba, mahudhurio hafifu ya wapiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ukonga umetokana na watu kwenda kazini. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Uchaguzi huo ulifanyika siku ya Jumapili ya tarehe 16 Septemba 2018, siku ambayo mara zote imekuwa ikitumika kwa kuwa, ...


Source: MwanahalisiRead More