POLEPOLE AWATAKA WANACHAMA NA WANANCHI KUUNGA MKONO KAZI NZURI YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

POLEPOLE AWATAKA WANACHAMA NA WANANCHI KUUNGA MKONO KAZI NZURI YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO


Na Ahmed Mahmoud Arusha
KATIBU wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole amewataka wanachama wa chama cha Mapinduzi(CCM) pamoja na wananchi kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na Rais John Magufuli ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Aidha amewataka wananchi kumpuunza mbunge wa jimbo la Arusha Mjini Godbles Lema na timu yake ambayo imekuwa ikimkashifu rais na serikali kwenye mitandao ya kijamii na kuacha kutekeleza ahadi alizowaahidi wananchi wa wilaya hiyo.
Polepole alitoa rai hiyo hiyo jana wakati wa siku ya kwanza ya ziara yake ya siki14 mkoani hapa ambapo pia alirudhishwa na utekelezaji wa ilani ya ujenzi wa barabara ya lami ya Arusha by Pass yenye urefu wa km 42.4 kutoka Ngaramtoni mpka Usa River.
"Tuna kila sababu ya kumpongeza rais wetu John Magufuli.Niwaombe wananchi wa wilaya ya Arusha Jiji pamoja tuunge mkono utendaji kazi wa rais Magufuli ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya kuwatumikia watanzania haswa wananchi wanyonge kwa mambo makubwa ya kusukuma maendeleo mbele ya nchi yetu".Ali... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More