POLISI ARUSHA WAFANIKIWA KUPATA GARI AINA YA TOYOTA SURF ILIYOIBIWA SEPTEMBA 17 - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

POLISI ARUSHA WAFANIKIWA KUPATA GARI AINA YA TOYOTA SURF ILIYOIBIWA SEPTEMBA 17


  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Ramadhani Ng'azi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mali mbalimbali zilizokamatwa na kuwataka wakazi wa Arusha kufika ofisini kwake kwa ajili ya kutambua mali walizoibiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Ramadhani Ng'azi akionyesha mali mbalimbali zilizokamatwa na kuwataka wakazi wa Arusha kufika ofisini kwake kwaajili ya kutambua mali walizoibiwa.Mwalimu Susan Cornel mkazi wa Olasiti Arusha akizungumza na waandishi wa habari nje ya Makao makuu ya Polisi Arusha akieleza namna gari lake liliibiwa.Na Seif Mangwangi, ArushaJESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kupata gari aina ya Toyota surf namba T996AGK, lililokuwa limeibiwa  Septemba 17, mwaka huu katika eneo la stand ndogo lilipokuwa limepakiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Ramadhan Ng'azi alisema dereva wa gari hilo Susan Cornel mwalimu wa shule ya msingi Maviluni Akeri alikuwa amepaki gari hilo na kuingia stand kwa ajili ya ku... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More