Polisi Dar, yatoa neno kupigwa kwa mwandishi wa habari - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi Dar, yatoa neno kupigwa kwa mwandishi wa habari

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, limelaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa mwandishi wa habari  wa Wapo Redio, SILLAS  MBISE lililotokea tarehe 08.08.2018 siku ya mechi kati ya SIMBA na ASANTE KOTOKO ya nchini Ghana, ambayo siku hiyo lilikuwa tukio la kuazimisha siku ya SIMBA(Simba day). Kamanda wa Polisi Kanda Maalum


Source: Kwanza TVRead More