Polisi Dodoma wawashikilia ‘machangudoa’ 22 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi Dodoma wawashikilia ‘machangudoa’ 22

WANAWAKE takribani 22 pamoja na wanaume watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya ngono. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza na wanahabari leo tarehe 9 Oktoba 2018 jijini Dodoma, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Gilles Muroto amesema watuhumiwa hao walikamatwa maeneo ya Uhindini ambapo wanawake hao ...


Source: MwanahalisiRead More