Polisi Mbeya wamsaka dereva wa lori - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi Mbeya wamsaka dereva wa lori

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamsaka dereva wa lori la mafuta linalomilikiwa na Kampuni ya Mafuta ya Oil Com, baada ya lori hilo kukutwa limebeba vipodozi vilivyopigwa marufuku kuingia nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hatua hiyo ya Jeshi la Polisi Mbeya imekuja baada ya kukamata lori hilo maneneo ya Mbarali jijini Mbeya, likiwa limebeba ...


Source: MwanahalisiRead More