Polisi Pwani wakamata gunia 17 za bangi - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi Pwani wakamata gunia 17 za bangi

Jeshi la Polisi mkoani Pwani, limewakamata watu wawili wanaodaiwa kusafirisha gunia 17 za bangi ndani ya gari lao lenye namba za usajili T. 819 CYQ aina ya Prado. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani ACP. Wankyo Nyigesa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema majina ya watuhumiwa hao, yanahifadhiwa hadi uchunguzi utakapokamilika kwani walipokea taarifa hizo,


Source: Kwanza TVRead More