POLISI SHINYANGA YATOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

POLISI SHINYANGA YATOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akifungua mafunzo kuhusu usalama barabarani kwa wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya moto yaliyoandaliwa na jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga - Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blogMkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akiwasisitiza waendeshaji wa vyombo vya moto kuzingatia sheria za barabarani ili kutokomeza ajali mkoani Shinyanga.Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akifungua mafunzo hayo. Kushoto ni Afisa Mnadhimu wa polisi mkoa wa Shinyanga Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Lutufyo Mwakyusa, kulia ni Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga,ACP Simon HauleKamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga,ACP Simon Haule akieleza lengo la mafunzo ya usalama barabarani kwa madereva na wamiliki wa vyombo vya motoKamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga,ACP Simon Haule akiwataka madereva kuacha uzembe barabarani ili kuepuka ajali barabaraniKamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga,ACP Simon Haule akisisitiza kuwa jesh... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More