POLISI TANZANIA BINGWA KATIKA TAEKWONDO, KENYA YA PILI, RPC AWAITA OFISINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

POLISI TANZANIA BINGWA KATIKA TAEKWONDO, KENYA YA PILI, RPC AWAITA OFISINI

Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi ArushaMashindano ya ya Nane Nane Taekwondo Clubs Championship yamemalizika jana jioni kwa timu ya Polisi Arusha Taekwondo Club kuibuka mshindi baada ya kuzipiku timu zote zilizoshiriki kwa siku mbili katika ukumbi wa Tripple “A” uliopo jijini hapa.Timu hiyo ambayo inajumuisha wachezaji wa kike na wa kiume pamoja na watoto wadogo wanaoanzia umri wa miaka mitano iliweza kuibuka na ushindi huo baada ya kupata jumla ya medali 27 toka katika makundi yote matatu ambapo watoto wa umri wa miaka 5, 8 na 13 walipata Gold Moja na Silver Mbili, huku askari pekee wa kike Ester Yohana akipata Gold na wanaume wakipata Gold 6, Silver 5 na Bronze 12.Mashindano hayo ambayo yana umuhimu mkubwa katika kupima uwezo wa kila mchezaji yalishirikisha jumla ya timu kumi ambazo ni Polisi Arusha,Kijenge, Kili, Edmund Rise School,Perfect, Tripple A, Naura zote za Tanzania na Kilifi, Regional  A na Regional B zote toka nchini Kenya.Katika mashindano hayo timu ya Polisi Aru... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More