Polisi Tanzania, yaitangazia Arusha United vita ya FDL - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi Tanzania, yaitangazia Arusha United vita ya FDL

TIMU ya Polisi Tanzania leo Alhamisi itakuwa ugenini kukipiga na Arusha United katika dimba la Sheikh Amri Abeid ukiwa mchezo wa sita kwenye Ligi Daraja la Kwanza (FDL) huku Kocha Mkuu, Issah Rugaza akisema anataka pointi tatu kutoka kwenye uwanja huo.


Source: MwanaspotiRead More