POLISI WAAGIZWA KUMKAMATA MKUU WA KANDA-PORI LA AKIBA RUKWA, MENEJA WA MISITU TFS ASIMAMISHWA KAZI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

POLISI WAAGIZWA KUMKAMATA MKUU WA KANDA-PORI LA AKIBA RUKWA, MENEJA WA MISITU TFS ASIMAMISHWA KAZI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki na viongozi wengine wa mkoa wa Katavi kuzima moto uliokutwa ukiwaka ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Inyonga wakati wa ziara yake katika wilaya ya Mlele mkoani humo jana.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa maelekezo kwa Meneja wa Mapori ya Akiba ya Rukwa na Lwafi, Pasko Mrina kuhusu namna bora ya kuimarisha ulinzi wa rasilimali za misitu na wanyamapori katika mapori hayo wakati wa ziara yake kwenye wilaya ya Mlele mkoani Katavi jana. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Rachel Kasanda.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Huduma za Misitu, Kanda ya Magharibi, Valentino Msusa kufuatia uharibifu uliofanywa kwenye Hifadhi ya Msitu wa Inyonga uliopo wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakati wa ziara yake wilayani humo jana. Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Rachel Kasanda. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More